Swali: Kuna mwanaume msafi na hana maji. Je, imechukizwa kwake kumwingilia mke wake na baadaye akafanya Tayammum?

Jibu: Hapana, Allaah amemruhusu kufanya hivo. Tayammum ni twahara.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 20/11/2016