Kufanya Jihaad katika miezi mitukufu


Swali: Ni ipi kauli yenye nguvu kuhusu hukumu ya kupigana vita katika miezi mitukufu?

Jibu: Kauli yenye nguvu ni kuwa imefutwa na inajuzu. Hii ndio kauli yenye nguvu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (73) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14115
  • Imechapishwa: 17/11/2014