Kufaa kwa wanaume kuvaa pete ya fedha

Swali: Ni ipi hukumu ya kuvaa pete? Ni mapokezi yepi yaliyopokelewa kuhusu hilo? Ni katika kidole kipi mtu anatakiwa kuvaa? Ni katika mkono upi?

Jibu: Inajuzu kwa mwanaume kuvaa pete ya fedha katika kidole kidogo au kwenye kidole cha pete. Hakuna neno kufanya hivo. Jambo hili lina wasaa ndani yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191047#191047
  • Imechapishwa: 03/09/2018