Swali: Maoni ya wanachuoni wengi kuhusu uharamu wa vita katika miezi mitukufu ni hukumu iliofutwa ndio maoni yenye nguvu? Ni Aayah ipi iliyokuja kufuta vita katika miezi hii mitukufu?

Jibu: Wanachuoni wengi wanaona kwamba uharamu wa kupigana vita katika miezi mitukufu ni hukumu iliyofutwa. Dalili ya hilo ni kwamba Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) walikuwa wakipigana vita katika miezi mitukufu baada ya kufa kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
  • Imechapishwa: 30/05/2019