Kufa siku ya ijumaa ni alama ya mwisho mwema?

Swali: Kufa siku ya ijumaa ni miongoni mwa alama za mwisho mwema?

Jibu: Hapana. Kifo kinakuwa wakati wowote katika ngazi moja. Hili hata kama kuna masiku yenye sifa za kipekee. Lakini tukisema hivo basi jumatatu ina haki zaidi. Kwa sababu ndio siku aliokufa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Lakini sijui siku yoyote kwamba ina sifa maalum inapokuja katika kifo.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://binothaimeen.net/content/13332
  • Imechapishwa: 12/06/2018