Swali: Ni ipi hukumu ya kueneza picha ya maiti katika vyombo vya mawasiliano kwa hoja ya kuwapa watu mawaidha kwa kufa kwake?

Jibu: Picha ni haramu, ni mamoja ya maiti na ya waliohai. Na ikiwa makusudio ya kufanya hivi ni kwa ajili ya masikitiko na kuhuzunika juu yake, haya ni Nay´[1] na haijuzu.

[1] http://firqatunnajia.com/17-yaliyo-haramu-kwa-ndugu-wa-karibu-wa-maiti-ii/

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-11-6.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014


Takwimu
  • 26
  • 413
  • 1,821,445