Kuendesha gari kasi kubwa kwa ajili ya kuwahi swalah

Swali: Mtu anaweza kutumia kipimo makatazo ya kukimbia kwa ajili ya swalah juu ya kukimbia kwa gari?

Jibu: Kukimbia kwa gari haijuzu; ni mamoja kwa ajili ya swalah au kwa ajili nyingine. Kuna khatari. Kwa hivyo haitakikani kwa mtu kwenda spidi kwa gari.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (18)
  • Imechapishwa: 08/01/2021