Swali: Ni ipi hukumu kwa mwenye kuelekeza miguu yake upande wa Ka´bah?

Jibu: Ni sawa. Mtu akihitaji kufanya hivo hakuna neno ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13389
  • Imechapishwa: 25/04/2018