Kuelekea Qiblah wakati wa kumuombea maiti

Swali: Ni ipi hukumu ya kunyanyua mikono wakati wa kumuombea Du´aa maiti? Je, nielekee Qiblah au kaburi?

Jibu: Yote mawili ni sawa kunyanyua mikono na kuelekea Qiblah wakati wa kumuombea Du´aa maiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Sharh Zaad-il-Ma´aad (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-11-6.mp3
  • Marejeo: Firqatunnajia.com
  • Imechapishwa: 11/11/2014