Kuelekea Qiblah Jerusalemu wakati wa kuswali


Swali: Mimi sitoki katika nchi hii [Saudi Arabia], bali ninatoka katika nchi ya Shaam. Je, inajuzu kwangu kuswali kwa kuelekea Yerusalemu?

Jibu: Tunamuomba Allaah afya. Anayeswali kwa kuelekea Yerusalemu anakufuru. Kwa kuwa kutendea kazi jambo lililofutwa haijuzu. Kinachofanyiwa kazi ni kile kilichofuta na sio kile kilichofutwa. Lau leo mtu ataelekea Yerusalemu anakufuru. Kuelekea Yerusalemu ilikuwa kabla ya hukumu hiyo kufutwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (47) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-04-08.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014