Swali: Ni ipi hukumu ya kuegemea makabati ya misahafu kwa njia ya kwamba msahafu unakuwa nyuma ya mtu?

Jibu: Hakuna kinachonidhihirikia. Hakuna neno – Allaah akitaka. Hakuzingatiwi ni kuutweza msahafu.

  • Mhusika: Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
  • Imechapishwa: 29/05/2019