Kudumu kwa kusoma Khutbat-ul-Haajah katika Khutbah na mihadhara

Swali: Je, ni bora mtu kuendelea kwa kuleta Khutbat-ul-Haajah katika kila Khutbah ya Ijumaa au inakuwa wakati fulani anaileta na wakati mwingine analeta nyinginezo?

Jibu: Ndio, inakuwa namna hiyo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuwa anadumu nayo katika Khutbah za Ijumaa (zote). Hakuwa anadamu nayo. Wakati fulani alikuwa anaileta na wakati mwingine analeta zingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (36) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-11-16.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014