Kuchukua sehemu katika michango ya mayatima


Swali: Kuna mtu anakusanya michango ya mayatima ambao anawasimamia. Je, inajuzu kwake kula sehemu ya michango hii kabla ya kuwasimamia? Je, imeshurutishwa kukubaliana kwanza na wale wenye kujitolea milango hiyo?

Jibu: Hafai kwake kuchukua midhali ni michango. Isipokuwa anaweza kuwaambia kwamba anataka mshahara na apewe mshahara maalum na isiwe ile michango.

  • Mhusika: Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 20/10/2018