Kuchukua picha kwa ajili ya mapambo


Swali: Ni ipi hukumu ya kuchukua picha za jua kwa sababu ya haja au kwa ajili ya mapambo?

Jibu: Kuchukua picha viumbe vilivyo hai ni haramu isipokuwa zile zinazopelekea katika dharurah. Mfano wa hizo ni kama kuchukua picha kwa ajili ya cheti, pasipoti au kuwachukua picha wahalifu ili watambulike na wakamatwe pindi wanapofanya tendo la jinai na wakataka kukimbia.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alifta.net/Fatawa/fatawaDetails.aspx?languagename=ar&View=Page&PageID=360&PageNo=1&BookID=3
  • Imechapishwa: 21/04/2018