Swali: Ni ipi hukumu ya kuchukua msaada kutoka kwa makafiri wakati wa vita?

Jibu: Mtawala wa Waislamu akiwahitajia hakuna neno juu ya hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (70) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13905
  • Imechapishwa: 16/11/2014