Kuchukua maji kutoka msikitini kwa ajili ya kuoga

Swali: Inajuzu kwangu kuchukua maji kutoka kwenye vyoo vya msikitini nikiwa na janaba na sina maji?

Jibu: Ni vizuri, hakuna neno. Wamewekwa kwa ajili ya kujisafisha. Chukua uende ukajisafisha nyumbani kwako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 26/11/2016