Kuchinja baada ya timu kushinda


Swali: Baadhi ya washabiki walifurahi sana wakati klabu yao iliposhinda ambapo wakawa wamechinja ngamia kumi. Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Hii ni khasara duniani na Aakhirah. Hii ni khasara duniani na Aakhirah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-09.mp3
  • Imechapishwa: 27/05/2018