Kucheza Harusini


Imetufikia kuwa kunatokea fitina pindi kunapochezwa dufu hata kama itakuwa wanawake peke yao. Baadhi ya wanawake wanaweza kuwa wa kifakhari, wembamba na wazuri. Wanapoanza kucheza, wanawatia wengine katika fitina hata kama ni wanawake wenzio. Kwa ajili hii haturuhusu kucheza [harusini] hata kama itakuwa mbele ya wanawake peke yao.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa' ash-Shahriy (12)
  • Imechapishwa: 01/06/2017