Kuchemua wakati wa Khutbah ya ijumaa


Swali: Mtu akitoa chafya wakati wa Khutbah ya ijumaa na akamhimidi Allaah, je aombewe kwa Allaah rehema?

Jibu: Hata salamu hatakiwi kujibiwa. Akija mtu na kutoa salamu asirudishiwe salamu, pamoja na kwamba kuitikia salamu ni wajibu. Wakati wa Khutbah ya ijumaa asirudishiwe. Tusemeje juu ya kumtakia rehema?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (13) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdah%20Fiqh-26-10-1434.mp3
  • Imechapishwa: 21/10/2017