Kuchelewesha Ramadhaan kwa sababu ya mimba


Swali: Mke wangu ana mimba na ni mdhaifu na ana deni la siku moja la Ramadhaan, lakini hawezi kufunga kwa sababu ya ujauzito. Afanye nini itapokuja Ramadhaan?

Jibu: Acheleweshe swawm mpaka Ramadhaan itapokuja. Kisha akiweza kulipa afanye hivo hata kama itakuwa baada ya Ramadhaan. Hana juu yake isipokuwa kulipa peke yake maadamu alikuwa si muweza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
  • Imechapishwa: 24/04/2018