Kuchelewesha Raatibah ya Maghrib mpaka ´ishaa

Swali: Je, inajuzu kuchelewesha Raatibah ya Maghrib mpaka baada ya swalah ya ´ishaa?

Jibu: Hapana, usiitoe nje ya wakati wake. Raatibah ya Maghrib inaswaliwa wakati wake baada ya swalah ya Maghrib. Kukiingia wakati wa ´ishaa wakati wake umeisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-15.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020