Swali: Inafaa kwa mwanamke kutumia nyusi za bandia?

Jibu: Ni aina ya uunganishaji ulioharamishwa. Anaunganisha nywele:

“Allaah amemlaani mwanamke mwenye kuunganisha nywele na mwenye kuunganishwa nywele.”[1]

Haijuzu kuunganisha nyusi, nywele wala kucha. Bali kuna mpaka kucha za bandia. Haijuzu. Ni haramu. Ni tazwiri na udanganyifu.

[1] al-Bukhariy (5941).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (61) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid-%2029%20-0%206-1438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017