Swali: Inajuzu kushutama kwa ajili ya kubusu miguu ya wazazi?

Jibu: Hakuna neno. Huko ni kuwatukuza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2017