Kubusu kichwa cha mzazi asiyeswali


Swali: Je, yafaa kubusu kichwa cha mmoja ya wazazi ikiwa anaswali wakati mwengine au haswali kabisa?

Jibu: Haijuzu kufanya hivo. Kwa sababu kufanya hivo ni katika mapenzi.  Kumbusu ni katika mapenzi. Haifai kumbusu. Lakini  hili halizuii kumfanyia wema katika mambo ya kidunia. Ama kudhirisha mapenzi, kama kumbusu kichwa na mfano wa hayo, hayajuzu.