Swali: Ni ipi hukumu ya kuweka mkono juu ya musahafu kisha mtu akaapa?

Jibu: Ni jambo lisilikuwa na msingi. Musahafu hautumiwi kwa kuweka mkono juu yake wakati wa kuapa. Hautumiwi kwa ajili ya jambo hili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=yw7cwgyaUVk
  • Imechapishwa: 27/05/2018