Swali: Ni ipi hukumu ya kuangalia mahali pa kusujudu wakati wa kuswali? Je, ni jambo la lazima au lililopendekezwa?

Jibu: Lililopendekezwa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 148
  • Imechapishwa: 02/07/2022