Kuandika ndani ya msahafu kwa ajili ya masomo

Swali: Nasoma Qur-aan kwa mmoja wa waalimu. Huwa naweka msitari chini ya baadhi ya maneno kwa kalamu ya risasi. Vilevile huwa naandika baadhi ya hukumu za Tajwiyd pembeni mwa kurasa. Nafanya hivo ili niweze kufahamu na nisisahau. Ni ipi hukumu ya kufanya hivo?

Jibu: Hapana, haitakikani. Inatakikana iwe kwenye karatasi nje ya msahafu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 19/10/2018