Swali: Je, inajuzu kuandika majina ya Allaah kwa mkono wa kushoto? Mimi siwezi kuandika isipokuwa kwa mkono huo tu.

Jibu: Hakuna neno kufanya hivo. Ni mwenye kupewa udhuru. Lakini lililo Sunnah kwa ambaye yusalama ni kuandika na mkono wa kulia.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.binbaz.org.sa/noor/326
  • Imechapishwa: 05/12/2016