Kuandika Aayah za Qur-aan kwenye vio vya gari

Swali: Ni ipi hukumu ya kuandika Aayah za Qur-aan kwenye kio cha gari kilichoko nyuma?

Jibu: Qur-aan haindikwi kwenye magari, kuta wala kitu kingine. Qur-aan inatakiwa kulindwa. Haiandikwi kwenye kitu kitachoipelekea katika kutwezwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 10/09/2017