Kuaminiwe fitina juu ya mwanamke kusafiri peke yake


Ni mamoja awe peke yake au na kundi la wanawake. Ni mamoja kuaminiwe fitina au isiaminiwe. Kwa sababu Hadiyth imetaja kwa kuachia na imekuja kwa njia ya kuenea. Kwa hivyo si halali kwa mwanamke kusafiri pasi na Mahram.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Nuur ´alaad-Darb (14) http://binothaimeen.net/content/6788
  • Imechapishwa: 05/02/2021