Swali: Kuna baadhi ya Madu´aat ambao wako na elimu, lakini wanatumbukia katika baadhi ya madhambi na maasi. Je, tutahadharishe watu nao au tuwanasihi kwa siri?

Jibu: Ndio, inatakikana kuwa namna hii. Wanasihi kwa siri. Yawezekana nyinyi mkawa sio wenye uhakika kwa kuwatuhumu. Hakikisheni kwanza. Hakikisheni makosa yao kisha ndio muwanasihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=uIoQmLCh38w
  • Imechapishwa: 19/01/2018