Kuachana kutokana na aibu inayoonekana kwa mume au mke baada ya ndoa


Swali: Ikiwa aibu inapatikana kwa mume, kama kuwa na ukoma na mwanamke hakujua hilo. Je, ana haki ya kuomba Talaka?

Jibu: Ndio. Haya ndio mliyosikia katika Hadiyth tulizozifafanua. Ya kwamba inapobainika kwa mke au mume ya kuwa ana ukoma na hakujua hilo, ana khiyari ya kuachana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/10064
  • Imechapishwa: 04/03/2018