Kuacha kuswali swalah ya ijumaa na swalah ya mkusanyiko kwa kuogopa ugonjwa

Hakuna tofauti yoyote kwamba inafaa kwa mgonjwa kuacha swalah ya ijumaa na swalah ya mkusanyiko. Pia  yule mwenye kuziacha kwa kuchelea asije kupatwa na maradhi amepewa udhuru.

  • Mhusika: Imaam ´Aliy bin Sulaymaan al-Mardaawiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Inswaaf (4/464)
  • Imechapishwa: 15/03/2020