Swali: Mwenye kuacha kuhudhuria Khutbah kwa kukusudia bila ya udhuru swalah yake ni sahihi?

Jibu: Swalah yake ni sahihi. Lakini hata hivyo amepitwa na kheri nyingi na ameinyima si yake kheri kubwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (13) http://alfawzan.af.org.sa/sites/de
  • Imechapishwa: 20/10/2017