Kuacha Kuchinja ´Aqiyqah Kwa Ajili Ya Ubakhili

Swali: Mtu ambaye hachinji ´Aqiyqah kwa ajili ya mtoto wake anazingatiwa kuwa anazipa kipaumbele pesa juu ya ´ibaadah?

Jibu: Ndio, akiacha kufanya ´Aqiyqah kwa ajili ya ubakhili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%203-11-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017