Swali: Kuacha kuamrisha mema na kukataza maovu kwa kuogopa watu kunahesabika ni katika shirki? Mtunzi wa Fath-ul-Majiyd (Rahimahu Allaah) kwenye mlango wa Kauli Yake (Ta´ala):

إِنَّمَا ذَٰلِكُمُ الشَّيْطَانُ يُخَوِّفُ أَوْلِيَاءَهُ

“Hakika huyo ni shaytwaan anawakhofisha awliyaa [marafiki na wasaidizi] wake.” (03:175)

Amesema hivo.

Jibu: Ndio, ni katika shirki ndogo. Mwenye kuacha kuamrisha mema na kukataza maovu kwa kuogopa watu, hii ni shirki ndogo. Mtunzi wa Fath-ul-Majiyd amesema haya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (05) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_05.mp3
  • Imechapishwa: 28/06/2018