Swali: Ni ipi hukumu Muhrim akiweka koti juu ya mabega yake wakati wa Ihraam kwa sababu ya baridi kali?

Jibu: Hakuna neno hata kama hakuna baridi. Inafaa kujifunika kwa koti au kitambara muda wa kuwa hujakivaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 28/02/2020