Kongamano za sifa kwenye msikiti wa aliyekufa

Swali: Wakati mwanachuoni anapofariki kunafanywa kongamano za kumsifu na semina kwenye msikiti wake. Je, inazingatiwa ni kuomboleza?

Jibu: Haijuzu. Wamuombee du´aa. Ama kufanya msikitini kwake kongamano za kumsifu haijuzu. Huku ni kuvuka mipaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (80) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-17-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2018