Kiwango cha Zakaat-ul-Fitwr ya ngano na dengu


Swali: Ni kiwango kipi cha Zakaat-ul-Fitwr?

Jibu: Kunatolewa Swaa´ ya kinabii. Uzani wake ni gramu 2400 ya ngano nzuri au kilicho na uzani kama huo kama dengu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/277)
  • Imechapishwa: 23/06/2017