Kiwango cha pesa za zakaah kuzigeuza chakula na vitu vyenginevyo

Swali: Inafaa kiwango cha zakaah kukigeuza chakula na vitu vinginevyo ambapo wakakawiwa mafukara?

Jibu: Haijuzu. Zakaah ni lazima itolewe chakula. Lakini akiwepo mtu ambaye anapokea zakaah mbalimbali kwa niaba ya nchi, hakuna ubaya akanunua mahitajio mbalimbali ya mafukara na akawapa. Ama ikiwa ni mtu binafsi au mtu akawa anamuwakilishia mtu mwengine, asiigeuze katika vyakula. Bali anatakiwa kuitoa pesa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (41) http://binothaimeen.net/content/1524
  • Imechapishwa: 13/06/2018