Malezi ni kule kuanza kwa zile elimu ndogondogo kabla ya zile kubwakubwa. Wafunze watu misingi, ile misingi muhimu. Wafunze watu yale maswali watakayoulizwa ndani ya kaburi kabla ya kingine chochote: Ni nani Mola wako? Ni ipi dini yako? Ni nani Mtume wako? Haya yanapatikana katika “Usuwl-uth-Thalaathah”, na si katika “Fiy Dhwilaal-il-Qur-aan”.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad Amaan bin ´Aliy al-Jaamiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=DlnW0hU3zNY
  • Imechapishwa: 07/02/2021