Swali: Ni yapi maoni yako juu ya kitabu “Hayaat-us-Swahaabah”[1]?

Jibu: Ni kitabu cha Tabliyghiyyuun. Wao wanachotilia umuhimu tu ni fadhila, fadhila za matendo. Hawajali ´Aqiydah na Tawhiyd. Wanachojali tu ni fadhila za matendo. Kwa msemo mwingine ni madhehebu ya Suufiyyah.

Hawajali ya kwamba Maswahabah walipigana katika njia ya Allaah. Hawakutaja Jihaad yao. Hawajali ya kwamba Maswahabah walijifunza Tawhiyd na wakamuabudu Allaah Pekee. Hawatilii umuhimu juu ya hilo. Wao wanachojali ni fadhila peke

[1] Cha Muhammad Yuusuf al-Kaandahlawiy. Tazama http://waqfeya.com/book.php?bid=524

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsirayat-12-07-1435-01_0.mp3
  • Imechapishwa: 19/05/2018