Swali: Katika mji wetu wapo wasomaji wa Qur-aan ambao wanafululiza kusoma Qur-aan masaa 24. Je, wanaweza kuchukua malipo juu ya kazi hii kwa sababu msikiti unatembelewa na waislamu na makafiri ambao wote wanasikiliza kisomo. Je, kazi hii inafaa?

Jibu: Kazi hii haifai. Haina dalili kwamba Qur-aan isomwe msikitini masaa 24. Hakuna dalili juu ya hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (88) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahssat.mp3
  • Imechapishwa: 07/09/2018