Kisomo cha Qur-aan bila kutikisa midomo

Swali: Je, analipwa thawabu ambaye anatazama Qur-aan pasi na kutikisa midomo?

Jibu: Hapana. Kisomo kinapelekea kutikisa midomo miwili. Kisomo bila ya kutikisa midomo moiwili hakizingatiwi ni kisomo. Kisomo cha kunyamaza hakihesabiki ni kisomo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3