ar-Rabiy´ bin Sulaymaan amesema:

“ash-Shafi´iy alikuwa akikhitimisha Qur-aan kila usiku. Katika Ramadhaan alikuwa akikhitimisha kila usiku  na kila mchana. Kwa hiyo alikuwa akikhitimisha Qur-aan katika Ramadhaan mara sitini.

al-Maymuun amesema:

“Nimemsikia Ahmad bin Hanbal akisema: “Huwaombea du´aa watu sita kabla ya alfajiri. Mmoja wao ni ash-Shaafi´iy.”

  • Mhusika: Imaam Abuul-Husayn Muhammad bin Abiy Ya´laa al-Hanbaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Twabaqaat-ul-Hanaabilah (2/268)