599- Nilimuuliza Ahmad akiulizwa kama Zakaat-ul-Fitwr inaweza kutolewa kabla ya swalah. Akajibu:
“Ibn ´Umar alitoa Zakaat-ul-Fitwr siku moja-mbili kabla ya ´Iyd-ul-Fitwr. Yeye ndiye ambaye amesimulia Hadiyth.”
- Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 123
- Imechapishwa: 06/03/2021