Nimepima mchele ulioletwa na X kwenye mfuko wa plastiki. Uzani wake ni gramu 2100 na nimeona kuwa ni sawa na ile Swaa´ ya kinabii.

Imeandikwa na

Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn

1410-07-27

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/283)
  • Imechapishwa: 06/05/2021