Swali: Kuvaa barakoa ya mdomo kunapingana na ukamilifu wa Tawhiyd?

Jibu: Hapana, hakupingani. Hata hivyo mtu asitumie ndani ya swalah na katika Ihraam. Vinginevyo sijui kitu kinachokataza mtu akaitumia kwa sababu ya harufu mbaya na kwa sababu ya vitu vyengine vinavyodhuru.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=rvZgmJ-Ma4E
  • Imechapishwa: 06/03/2020