Swali: Inajuzu kwa mtu kuvaa zaidi ya soksi mbili na akafuta juu ya zile atakazo?

Jibu: Atafuta juu ya zile zilizoko juu. Kama alianza kupangusa zile ziliko chini kisha akavaa juu yake soksi zengine, basi atafuta zile zilizoko chini. Kinachozingatiwa ni zile alizoanza kupangusa; kama alianza na zile za chini basi ataendelea na hizo za chini na kama alianza na hizo za chini basi ataendelea na hizo za chini na itambidi kuzivua zile za juu kwa ajili ya kupangusa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 28/02/2020