Kilicho wajibu katika Tajwiyd


Swali: Je, kuzitendea kazi hukumu za Tajwiyd ni wajibu au hapana?

Jibu: Kusoma Qur-aan kwa sauti ya wazi na fasaha kwa njia ya kwamba kila herufi ikatoka kwa uzuri ndio jambo la wajibu. Kuhusu المدود na الغنة  yote haya ni katika mambo yaliyopendekezwa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 19/10/2018